WEMA SEPETU AJINASIBU BAADA YA MASUPER STAR HAWA WAKIMAREKANI KUMFOLLOW SNAPCHAT

Wema Sepetu amekuwa miongoni mwa watu maarufu wanaofuatiliwa zaidi mitandaoni, Kwenye kurasa yake kama Instagram anawatu zaidi ya milioni 2.
Wema Sepetu
August 4 2016 Wema amefuatiliwa na watu maarufu wawili duniani ambao ni Dj Khaled na Ex wa rapa Tyga "Blac Chyna".

Kwenye post ya Dj Khaled Wema aliandika “Bless Up We Da Best Musiq….. Wen Dj Khaled Follows u Baq on Snapchat….. ???????????????? @djkhaled@djkhaled @djkhaled Niacheni na Ushamba wangu… Kila mtu na Mnyonge wake”

Pia staa mwingine ambaye amefollow kurasa ya Wema ya Snap Chat ni Blac Chyna na Ujumbe wa Wema ulikuwa hivi>> “Her too… @blacchyna na mniache na ushamba wangu… dont be a bubble buster…."

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post