BRAND NEW VIDEO MUSIC || CHEGE - WAACHE WAOANE FT DIAMOND || WATCH HERE
byUnknown-
0
Chege kutoka TMK Wanaume Family anakualika Kuitazama Video ya wimbo wake mpya aliomshirikisha Diamond Platnumz Mdundo huo umepewa jina "Waache Waoane", Video Imetengenezwa na Justin Campos.
Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...