Msanii mkongwe wa muziki nchini Q Chief amemtaja Professor Jay kama msanii aliyempa hamasa ya kufanya muziki.
Q Chief amesema kuwa alikuwa akimsikiliza sana Professor Jay kipindi bado hajatoka kimuziki na alikuwa anaamimni anaweza kufika kiwango kama cha msanii huyo japo alikuwa akifanya muziki tofauti:
“Nilikuwa namsikiliza sana professor Jay enzi hizo chemsha bongo ina hit sana,nikawa najiambia naweza kufanya kama Jay kwa mfumo mwingine halafu nikawa kama yeye..naweza sema alifanya jambo kubwa sana kutu introduce kwenye ulimwengu wa muziki,he gave courage to so many young talented boys who are doing good today” alieleza Q Chief kwenye kipindi cha Ladha 3600 cha E-FM.
Post a Comment Blogger Facebook
Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii
Note: Only a member of this blog may post a comment.