Chombezo: NITAKUPENDA USIKU TU
Sehemu: 07
Mtunzi: Andrew Carlos
Sms tu: 0713 133 633
Ilipoishia..
Nikatamani kuvamia ile show lakini nafsi ikanizuia. Ikanivuta kuwa niachane nao. Nikayaacha macho yaendelee tu kuona na mwili kutamani uku akili ikikataa kufanya lolote.
Songa nayo sasa..Niliondoka uku roho ikiwa inaniuma sana. Iliniuma kwakuwa yule msichana nilikuwa ni kama nimemuandaa mwenyewe na ile yote kuwa na yule mwanaume mwingine ilitokana na kulewa kwake kwa pombe. Hatua kama kumi nilikuwa tayari nimesharejea katika kigodoro kile nikiwa na lengo moja tu. Lengo la kumchukuwa Jof nakurudi naye kwetu Tabata Dampo. Nilizunguka sana kumtafuta bila mafanikio yoyote.
Swali lililonijia huenda ameshaondoka lakini kutokana na ile hali yake aliokuwa nayo ya kulewa kupitiliza niliamini wazi atakuwa amezima na huenda amejilaza sehemu.
Nilendelea kuanza huku na kule kumtafuta. Nikamuona!!
“Jof, Jof!!” Niliita kwa mshangao.
Hakuwa Jof yule ninayemjua mimi. Alikuwa amejikunja kwenye kochi na jimama lile la kwanza. Lile jimama ambalo sikubahatika kulidumbukizia kasuku wangu. Jimama ambalo lilifanya kazi ya kunifungua zipu kisha likaondoka kipindi kile. Sasa Jof alikuwa akineemeka mwenyewe pasipokujitambua. Sikuwa na hamu nalo tena! Nilibaki kuwa na furaha moyoni kwakuwa na Jof naye kapata wake. Nilitamani kumsogelea Jof kumuambia kuwa natangulia lakini ilinibidi kukaa pembeni nikipulizwa na ubaridi kwa kumsubiria uku watu kama wanne tu ndio walikuwa wakiendelea kuucheza muziki wa kigodoro na wengine wale wote waliokuwepo mwanzoni walikuwa wameshatawanyika kwenda makwao.
Niliendelea kumsubiri sana Jof amalize yake. Nilipigwa na ubaridi bila kukata tamaa. Hatimaye baada ya muda kama wa dakika arobaini usingizi ukaanza kuninyemelea. Mauzauza!! Nikainuka kumuangalia Jof. Jof alikuwa peke yake amezidiwa na usingizi na wala sikujua yule jimama ni muda gani alikuwa ameachana na Jof pale chini. Niliamini moja kwa moja litakuwa ndani. Nilimfuata Jof mpaka karibu yake.
“Jof! Joof!!”
Alionesha kuchoka sana. Alikuwa ni kama hajitambui kabisa. Kazi kubwa nikaipata. Kazi ya kumshikiza begani nakuondoka naye mpaka nyumbani Tabata Dampo. Nilijikokota naye hivyo hivyo japokuwa kuna wakati tulikuwa tukipumzika na hata wakati mwingine tukiendelea na safari kwa kujikokota.
Ndani ya muda tulikuwa tumeshafika nje ya mlango wangu wa getto. Jof bado alikuwa hajiwezi wala hajitambui. Niliamua kumlaza getto kwangu kwa madhumuni kuwa kesho yake asubuhi atarudi kwake. Tukaingia mpaka kitandani tukalala!
*******
“Seif? Seif niambie jana ilikuwaje?” Aliongea Jof
Alikuwa ameshashtuka kutoka usingizini. Wenge!! Aliyatoa sana macho kwa sintofahamu. Hakuwa tena Jof wa jana yake usiku kutokana na zile pombe zote kumuishia kichwani. Alichangamka sana!
“Hufai wewe, Kumbe Jof wewe mbaya!! yaaani ni balaaaaa!!” Nilimwambia kiutani.
“Anhhh kwani nilifanyanyeje mbona kumbukumbu kidizaini kama zinakata hivi?”
“Jimama Jof, Jimama ulilikamatia ilee!!”
“Anhhh acha zako bwana, ila nakumbuka kama na wewe ulikuwa ukicheza nayo katikati yakiwa tupu?..
Kabla Jof hajamalizia kuongea na mimi hodi ikabishwa. Mlango wangu ambao huwa nikiutegesha kwa jiwe ukawa umesukumwa kwa pupa.
“Seif? Seif”
“Naam!!” Nilishtuka.
“Jana siku nzima ulikuwa wapi? Na kwanini unitese wewe kijana hapa tu siku ya kwanza je uko mbeleni”
Alikuwa ni yule jimama wa siku ya kwanza kwenye kigodoro mtaa wa pembeni na kwangu. Mash! ndio alikuwa ni Mash akiongea kwa hasira na sura akiikunja.
“Mash?”
“Sema?”
“Kama unavyojua kazi zangu za kushinda nikiuza kahawa na chai na jana niliuza mpaka usiku...
“Unasemaje wewe?”
“Jana niliuza mpaka usiku sana nimerudi saa saba usiku!!” Nilimdanganya.
Ndio kwanza nikawa kama nimemlisha pili pili mdomoni. Alichukia sana nakufoka kwa hasira. Ikambidi hata Jof achukuwe shati lake avae na kuondoka zake akituacha wawili tu ndani ya chumba.
“Umesema ulirudi jana usiku enhh?”
“Ndio kwani vipi? ulikuja kunitafuta kwangu?”
Mash hakunijibu chochote zaidi ya kuchukua mikono yake nakunivua suruali yangu. Nilionesha kuwa na nguvu kwa kumkatalia lakini mbele ya jimama Mash sikuwa na ujanja. Alinivua suruali na nguo ya ndani kisha akaniacha mtupu. Nilichoshangaa sasa yeye hakuvua hata sidiria. Alibaki na nguo zake zote.
“Hujakutana na mwanamke yoyote jana usiku?”
“Si nilishakwambia jinsi ninavyoishi peke yangu. Mwanamke atokee wapi?”
Mwanzoni nilijua Mash alikuwa akitaka kumchezea kasuku wangu ili amdonoe lakini haikuwa hivyo. Alinikagua kila kitu kisha akamkamua kasuku wangu. Yale matapishi aliokuwa ameyatapika usiku wake yalimtisha. Yalikuwa yamebaki kidogo katika upande wa mdomoni mwake. Hata na ile misuli misuli ya pembeni mwake ilikuwa bado imejichora.
“Haya niambie mwenyewe nini hiki?”
“Wewe nielewe sikuwa na mwanamke na hii huwa inanitokea tu mara kwa mara”
“Mimi siyo binti wa miaka kumi na mbili nisiyejua kuhesabu hata siku zangu. Nimefundwa!! tena kwetu. Licha ya kufundwa nyie wanaume nawajua A to Z hunidanganyi kitu wewe Seif.
Nilishakwambia jana kuwa ningekuja kwanini hukutaka kunisubiri? au umeshaona hii mashine yako dili sasa?”
Mash aliendelea kunilalamikia sana. Machozi yalianza kumlenga lenga na hata ile sura yake ya hasira ilibadillika na kuwa ya huruma.
“Haya uko ulikoenda jana usiku ni kwenye kigodoro?”
Sikuwa na ujanja. Moyo wangu wa huruma na mie nikausogeza mbele ya macho ya Mash. Nikamuitikia tu kwa kichwa.
“Unasema?”
“Ndio nilienda na huyu jamaa aliotoka hapa”
“Kigodoro cha wapi?”
“Mbali sana Mash!!”
“Mbali hakuna jina?”
“Tandale kwa Tumbo”
“Najua tabia zote za vigodoro vya Tandale na najua tabia kuanzia za wanaume wa kule hadi wanawake wa kule, Kwanza huwa wana mashauzi na wanajidai wakishua mara wametokea masaki mara wametokea Tanga uko Muheza na wengine watadanganya hata wanaishi Zanzibar wamekuja tu kwenye kigorodo ili mradi wakuteke, vipi hawakukufanya lolote?” Aliongea Mash.
Nilishusha pumzi kwa muda kisha nikamuangalia Mash mara mbili mbili. Nilihisi huenda na yeye alikuwepo au alituma mtu yoyote.
Machale yakanicheza nakunicheza. Yakanikamata nakunikamata!! nikajutia moyoni kutembea na wadanganyifu wa mapenzi kule Tandale. Nikainua kichwa changu kumtazama Mash.
Nikamdanganya!!
“Wala hakukuwa na wanawake wengi, Vijana wengi tu wa mtaani ndio walikuwepo tena wahuni sana walioshindikana”
“Sawa kama unasema hivyo lakini turudi kwenye mashine yako hapa. Mashine yako inaonesha kabisa imechezewa mpaka imechoka si unaona hata haisimami kabisa!!”
Aibu kubwa ilinishika. Ni kweli kasuku wangu alikuwa hajiwezi kwa lolote si kwa kusimama wala kutikisika. Alikuwa ni kama nusu rasi nusu majinuni!! NIkavuta taswira hata kipindi natumia Sabuni au mafuta katika kujichua. Nikakumbuka kuwa baada ya kasuku wangu kutapika huwa ana tabia ya kunywea na mishipa kumtoka sana.
Mash akainuka nakusimama. Akaniangalia kwa kurembua!
“Leo nitalala hapa hapa ikifika jioni nitaenda kwangu nijiandae kwa kwenda kazini” Aliongea Mash.
Swali lile lile la kipindi kile lilinijia tena kwa mara ya pili. Iliniuma sana kusikia kuwa anaingia kazini usiku. Kwani niliamini kazi kubwa ifanywayo usiku ni ulinzi na ukahaba tu na mbali na hapo ni ujambazi.
“Kazi gani?” Nikamuuliza kimtego.
“Inamaana ulinipata wapi Seif? Hujui kazi zangu tu hapa mjini?”
Nikazungusha kichwa kukumbuka. Hakuna!! nikaunganisha matukio mawili kati ya matatu kuanzia nilipompata kwenye kigodoro mpaka getto kwake. Sikupata jibu.
“Hapana sikumbuki wewe niambie tu ili iwe rahisi nikutembelee hata kazini kwako siku moja”
“Utembee kazini kwangu? na hivyo vikahawa vyako? kazini kwetu huwa hatunywi kahawa ila kama utakuwa ukipitisha sigara na kondomu zitanunuliwa sana!!”
“Unamaana gani sikuelewi Mash”
“Ndio ujue sasa mimi najiuza na hii yote inanifanya nawalisha wazazi wangu huko Mtwara. Namsomesha mtoto wa marehemu dada yangu na pia najikimu kimaisha kwa biashara hiyo kila siku!!”
“Unasemaje Mash?”
“Unachoshangaa mwanaume wewe nini sasa? Na kwa taarifa tu toka nimeanza hii biashara sijawahi hata siku moja kwenda bila kondomu zaidi yako tulipokutana juzi na nilifanya vile kutokana na kuipenda mashine yako kwa jinsi inavyosaga nakukoboa. Nakupenda Seif na usije ukanifanyia mchezo mchafu tu wakutembea na wengine bila kutumia kondomu tena mijimama kama mimi. Kwanza niambie na wewe jana usiku hukulala na mwanamke kwenye kigodoro wewe? na ulitumia kondomu?”
**********
:: Unavyodhani ni jibu gani atalitoa Seif? Na je Mash kweli yupo seriaz na Seif? Na anayosema ni kweli au anataka kumlaghai Seif aingie lain? Kiafya ni kweli Mash mzima?
:: Utamu ndio kwanza unaanza kukolea. Usithubutu kusimuliwa hii simulizi ingia ujisomee mwenyewe hapa hapa.
SIMULIZI:: NITAKUPENDA USIKU TU SEHEMU YA SABA
Title: SIMULIZI:: NITAKUPENDA USIKU TU SEHEMU YA SABA
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Chombezo: NITAKUPENDA USIKU TU Sehemu: 07 Mtunzi: Andrew Carlos Sms tu: 0713 133 633 Ilipoishia.. Nikatamani kuvamia ile show lakini nafsi ...
Post a Comment Blogger Facebook
Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii
Note: Only a member of this blog may post a comment.