Unknown Unknown Author
Title: JOH MAKINI AFUNGUKA NA KUSEMA YEYE NDIYE "THE MOST EXPENSIVE RAPPER IN EAST AFRICA" KWA SASA
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Msanii wa Hip hop kutokea kundi la Weusi Joh Makini amefunguka na kusema kuwa yeye ndiye rapper anayelipwa zaidi “the most expensive rapper...
Msanii wa Hip hop kutokea kundi la Weusi Joh Makini amefunguka na kusema kuwa yeye ndiye rapper anayelipwa zaidi “the most expensive rapper” kwa sasa kwenye ukanda wa Afrika Mashariki.
Joh Makini
Joh alisema hayo akiwa anajibu swali kwenye kipindi cha Planet Bongo kinachuruka kupitia East Afrca radio baada ya mtangazaji kutaka kujua kama uwekezaji anaoufanya kwenye muziki unamlipa.
“..I’m getting money, napiga shows, shows zangu ni ghali, the most expensive rapper in East Africa now. Napiga deals kubwa naenda coke studios na sehemu zingine, that’s money bro” alijibu Joh Makini.

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top