Kunako Kiwanda cha Filamu za Kitanzania inaletwa kwaki Filamu ya GATE KEEPER ambayo inatarajiwa kuingia sokoni mwezi wa Tatu tarehe 6 mwaka huu.
GATE KEEPER imechezwa na mastaa kibao katika tasnia ya bongo movie, kutana na Vincent Kigosi (Ray), Single Mtambalike (Richie), Kajala Masanja, Nicole Franklyin na Wengine Wengi.
Tazama hapa chini Kionjo (Official Trailer) cha filamu hiyo.
++++++++++++++++++++++++++++++++++++++
KUWA KARIBU NASI LINDIYETU.COM
KUWA KARIBU NASI LINDIYETU.COM
Usipitwe!! Ungana na Familia hii kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata Infortainment zote!! Usikose kujiunga na Youtube channel yetu ili kupata Exclusive mbalimbali kali kutoka LindiYetu TV
Post a Comment Blogger Facebook
Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii
Note: Only a member of this blog may post a comment.