



Mchezaji bora wa #VPL2015 ni Juma Abdul wa Yanga ambaye anapata zawadi ya Tshs. mil 9.2

Tuzo ya mchezaji bora chipukizi inakwenda kwa Mohamed Hussein “Tshabalala” wa Simba .

Tuzo ya mchezaji bora wa kigeni
inakwenda kwa Thaban Kamusoko wa Young Africans anapata Tsh mil 5.7.

Tuzo ya goli bora la msimu wa #VPL2015 inaenda kwa Ibrahim Hajibu Migomba wa Simba Sports Club.

Kipa bora wa #VPL2015 ni Aishi Manula wa Azam FC ambaye anapata kitita cha Tshs mil 5.7.

Bingwa Young Africans inapata Tshs mil 81




Tuzo ya mwamuzi bora katika msimu wa 2015/2016 inakwenda kwa Ngolle Philip Mwangole. #TuzoVPL2015
Tags
SPORTS NEWS