Siku za karibuni kumekuwa na maneno ya kichinichini yakidai wawili hawa Agnes Masogange na Rammy Galis kuachana. Wenyewe kuwanyamazisha wachawi wa penzi lao wameshare video hii wakiwa pamoja na wakionekana na furaha.
Tazama video hapa;
Tags
WATU MAARUFU