DIAMOND PLATNUMZ AANDIKA HISTORIA NYINGINE KWA KUWEKA REKODI HII HAPA KUPITIA VIDEO YA "KIDOGO"

Mkali wa Bongo Fleva na Hit maker wa Single ya "Make Me Sing" Diamond Platnumz Leo ameweza Kuiandika Historia nyingine katika Ulimwengu wa Muziki kupitia Video ya wimbo wake mpya aliowashirikisha mapacha kutoka Nigeria waliokuwa wakiunda Kundi lililojulikana kwa jina la P'SQURE Peter Okoye na Paul Okoye katika wimbo unaitwa "KIDOGO".
Diamond Platnumz
Wimbo huo una siku 4 tangu uwekwe YouTube lakini umeweza kutazamwa mara Milioni 1. Record ambayo haijawahi tokea kwa msanii yoyote ukanda wa Afrika Mashariki. 

Diamond ameweza ku tweet kupitia Twitter akiwashukuru Peter na Paul Okoye wa Kundi la P'SQURE.
Unaweza Itazama Hapa Video Hiyo:

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post