
Diamond ameandika haya katika post yake
"Ubaya wa mji unaanzga na uchafu!!!… na uchafu hauletwagi eti na serikali unaanzaga kwa sisi wananchi!!!… ikiwa kweli unapenda nasisi tuwe na jiji zuri basi kila mtu ndio mlinzi wa kwanza kulinda maeneo yake na popote anapo miliki pasiwe pachafu…. asikudanganye mtu usafi hautokani na utajiri wala kuwa na pesa ni tabia ya we mweyewe kujithibiti na kutosambaza na kutupa uchafu hovyo! sisi ndio wa kubadili mji ONA AIBU!!! amemalizia hivyo

Tags
HABARI ZA WASANII