Siku za Hivi karibuni Msanii wa Kizazi kipya anayefanya vizuri ndani na Nje ya nchi Diamond Platnumz aliweza kunakiliwa na vyombo mbalimbali vya habari kuwa anampango wa kuongeza mtoto wa pili baada ya kumpata Tiffah kwa mpenzi wake wa sasa Zarina Hassan.
Maneno hayo yameweza kuwekewa uzito na Mama yake mzazi, kama kuna watu walizani kuwa Diamond Platnumz alikuwa anatania kuhusiana na kuongeza mtoto wa pili.

Hii ni baada ya Mama yake mzazi Diamond kupost picha Instagram yenye ujumbe ukisema "Eti mama K". Picha hiyo inamuonesha Zari akiwa ndio mpiga Selfie hiyo huku mezani akiwa Baba Tiffah na Mama yake Diamond.
Sasa waswahili sijui na hii watahitaji DNA?..
Sasa waswahili sijui na hii watahitaji DNA?..

Tags
WATU MAARUFU