TAZAMA HAPA MATOKEO YA KIDATO CHA PILI KWA MWAKA 2015

NECTA
Baraza la mitiani NECTA limetangaza Matokeo ya kidato cha 2 kwa wanafunzi waliofanya mtihani mwaka jana ambapo wanafunzi 324,068 sawa na 89% kati ya wanafunzi 363,666 waliofanya mtihani wamefaulu kuendelea na kidato cha tatu.


BOFYA HAPA KUTAZAMA MATOKEO
Previous Post Next Post