SAMATTA NDANI YA KASHFA NA MREMBO HUYU, MWENYEWE AFUNGUKA YA MOYONI

 samatta
Baada ya moja ya gazeti hapa nchini linalotolewa kila mwisho wa wiki kuandika issue ya samatta kunaswa na mwanamke akivinjari nae, Samatta ameandika haya kupitia ukurasa wake wa Instagram, na baada ya muda mchache akaifuta posti hiyo lakini tayari tulikuwa tumeshainasa.
Hapo chini ni kipande cha gazeti hilo

SKENDO
Hapo chini ndio picha aliyo ambatanisha na maelezo ambayo yako hapo chini

KIDOA SALUM
“Asha umekumbwa na nini na kwann unajaribu kufanya aya hao ijumaa ndo wamekufanya ufanye haya wanakulipa kiasi gani shemej yangu mbna tulikuwa tunaheshimiana sana inamaana iyo tuzo ya ijumaa sexiest girl ndo malipo yake kuwatafutia habar na habar iyo ujaona watu wengine mpk kwangu mm ambaye atuna ayo mazoea na kwa sababu gani ukaamua kunifanya ivi kama ulikuwa na matatizo ungeniambia nikusaidie sio kunitendea ivi unataka kupata nini zaidi najua ulipanga kila kitu ndo maana ulilazimisha kupiga picha na mimi na kulazimisha nikubebe kwny gar kumbe ndo lengo lako ilo umeamua kunipeleka kwny magazeti ya udaku kwa interest za nani na umepewa kiasi gani kuwatafutia iyo stor iv unajua wameingiza kiasi gani kwa ilo hongera bana Ila mm siwez kumfanyia ivi rafiki yangu asante sana mungu atalipa hili. Na nyie ijumaa inamaana iyo tuzo mlimpa uyu mtoto muwe munamtumia kupata habar zenu sio ok hongereni sana mungu atajaalia gazeti lenu liwe namba moja.nakunja goti nasali kwako shemeji yangu asha ujiitae kidoa na pia kwenu gazeti la ijumaa lengo lenu limefanikiwa mbarikiwe.samahanini wana michezo ili suala sio la kweli na limeniuma sana ndo maana nimeliweka apa” amesema Samatta
Previous Post Next Post