Ciara aliimba wimbo wa taifa kwenye mechi ya Alabama dhidi ya Clemson na nguo aliyovalia ilionyesha sehemu ndogo ya maziwa yake ila baadhi ya watazamaji walilalamika kuwa watoto wao walikuwa wanatazama mechi hio.
Kuponda huko kulianza pale ripota wa zamani wa kituo cha ESPN Bonnie Bernstein alipoandika “Dear Ciara. You’re stunning. But this is a National Championship Game. Kids are watching. Cover up.”

Tags
HABARI ZA WASANII