Malaika Band ikitoa Burudani ya Nguvu kwa wakazi wa lindi na Vitongoji vyake Usiku wa kuamkia Ijumaa ya Tarehe 29/01/2016 ndani ya Ukumbi wa Peace Beach Resort kwa Udhamini wa Radio Mashujaa 89.3 Kusini sasa Inaongea.
Christian Bella akiimba kwa hisia wimbo wa Nani kama Mama kwa wakazi wa lindi na Vitongoji vyake Usiku wa kuamkia Ijumaa ya Tarehe 29/01/2016 ndani ya Ukumbi wa Peace Beach Resort wakati Bendi ya Malaika ikitoa burudani kwa Udhamini wa Radio Mashujaa 89.3 Kusini sasa Inaongea.
Malaika Band ikitoa Burudani ya Nguvu kwa wakazi wa lindi na Vitongoji vyake Usiku wa kuamkia Ijumaa ya Tarehe 29/01/2016 ndani ya Ukumbi wa Peace Beach Resort kwa Udhamini wa Radio Mashujaa 89.3 Kusini sasa Inaongea.
Marapa wa Malaika Band wakitoa Burudani ya Nguvu kwa wakazi wa lindi na Vitongoji vyake Usiku wa kuamkia Ijumaa ya Tarehe 29/01/2016 ndani ya Ukumbi wa Peace Beach Resort kwa Udhamini wa Radio Mashujaa 89.3 Kusini sasa Inaongea.
Ilikuwa simchezo pale Mashabiki wa Malaika Band walipochenguka na Burudani ya Nguvu kutoka kwa marapa na waimbaji wa bendi hiyo Usiku wa kuamkia Ijumaa ya Tarehe 29/01/2016 ndani ya Ukumbi wa Peace Beach Resort kwa Udhamini wa Radio Mashujaa 89.3 Kusini sasa Inaongea.

Juma Diwani Mmoja wa Ma presenter wa Mashujaa Radio akitoa neno la Shukrani kwa Mashabiki wa Malaika Band waliohudhuria Show hiyo Usiku wa kuamkia Ijumaa ya Tarehe 29/01/2016 ndani ya Ukumbi wa Peace Beach Resort kwa Udhamini wa Radio Mashujaa 89.3 Kusini sasa Inaongea.
Karanga Photoooooooo.....Ekotiteeeee
Christian Bella aki Selfika na Mashabiki wake walio hudhuria show Usiku wa kuamkia Ijumaa ya Tarehe 29/01/2016 ndani ya Ukumbi wa Peace Beach Resort kwa Udhamini wa Radio Mashujaa 89.3 Kusini sasa Inaongea.