WEMA SEPETU APASUA JIPU KUHUSU DIAMOND PLTNUMZ, SOMA ALICHOFUNGUKA

Dec 27 mashabiki wa Diamond Platnumz walipost video ya msanii wa Bongo Movies, Wema Sepetu katika mtandao wa instagram ambayo ikionesha akiimba wimbo wa Diamond uitwao ‘Utanipenda’.
wema sepetu
Kupitia Ukurasa wake wa Istagram Mlimbwende huyo ameweza kusema kilekilichomoyoni mwake juu ya sakata hilo la kuonekana amepewa mnyoosho na X-Boyfriend wake.

"Baada ya kusambaa kwa video hiyo yenye dakika 15 Wema akuchukua muda kuwajibu mashabiki hao na kuandika’Mwenzangu niache na kisauti changu ila swali la kizushi kwa hao wanaojiita NAT Team Wema mnanipa tabu sana kwahiyo nikiimba nyimbo ya Diamond kaninyoosha nikimpost nimemmiss au mara kanimwaga?, oooh mara hanitaki..mara nimefulia kiukweli maisha mnayonifanya niishi maisha magumu sana Diamond and I are over..We have over karibu mwaka na sasa kila mtu ka move on na sinaga tabia za kiswahili mtoto wa watu basi hata nyimbo nisisikilize, Huo ni upuuzi tena Ushamba...I aint like dat...Ntasikiliza nyimbo na nitaimba..." I actually love nyimbo yake nd I will sing...Jmekuwa biiiiig deal....Utasema nimeumia.....Leave me and Leave the boy and his family alone....Msituweke kwenye Spot Light...Kwani wangapi wameshakuwa kwenye Relationship wameachana na maisha yanaendelea...stop dat bhana...Its now getting auta hand sasa..."-Wema Sepetu ameandika
Previous Post Next Post