BREAKING NEWS:: KWELI HILI NI DONDA NDUGU, MAKONTENA MENGINE 11,884 YATOLEWA BANDARINI BILA MALIPO

Makontena
Habari‬ za hivi punde: Makontena 11,884 yamebainika kutolewa bandarini bila malipo na kusababisha hasara ya bilion 47.4.

Pamoja na magari 2019 yalitolewa bila kulipiwa ambapo makontena hayo ni tofauti na yale ya Waziri Mkuu majaliwa.

Kufuatia hali hiyo Watumishi 7 wa bandarini wanashikiliwa na jeshi la polis na wengine 8 wametoroka na wanaendelea kutafutwa na jeshi la polisi
Chanzo: Startv
Previous Post Next Post