HABARI ZA HIVI PUNDE:: MSAFARA WA WAZIRI MUHONGO WAPATA AJALI - KAGOROGORO KYERWA

Ajari Muhongo
Msafara wa Waziri wa Nishati na Madini Prof Sospeter Muhongo umepata ajali baada ya magari mawili kuacha njia katika Kijiji cha Kagorogoro Wilaya ya Kyerwa Mkoani Kagera.
Ajari Muhongo 
Hata hivyo hakuna majeruhi waliothibitishwa mpaka sasa na msafara huo ulikuwa unatoka mpaka wa Murongo karibu na nchi jirani ya Uganda.
Ajari Muhongo
Previous Post Next Post