LULU AAMUA KUMALIZA MWAKA KWA KUTOA UJUMBE HUU MZITO KWA MASHABIKI WAKE

Elizabeth Michael
"Mwaka huu ulikuwa mzuri au mbaya Kwa kila mmoja wetu….Katika MAZURI SHUKURU Na hata katika MABAYA Na ya KUUMIZA pia MSHUKURU MUNGU.
Tunapoelekea Kumaliza mwaka hiyo tu ni sababu tosha ya kuonyesha ni jinsi gani Una thamani mbele ya Mungu wako wala hutakiwi Kuwaza nani anakuona nini.
Nimejifunza na Ninaamini Kuna Nguvu, Msamaha, Kuongezwa, Kuzidishwa, Kuponywa na Mengine mengi ndani ya SHUKRANI"
. -
Elizabeth Michael ‘Lulu’ (@elizabethmichaelofficial) ameandika ujumbe huo kupitia akaunti yake ya Instagram.
Previous Post Next Post