KATIBU TAWALA WILAYA YA MASASI AFUNGUA SEMINA YA WADAU WA SEKTA YA MADINI NCHINI - MASASI MKOANI MTWARA

Wadau wa sekta ya Madini
Wadau wa sekta ya Madini nchini wakiwa kwenye picha ya pamoja na katibu tawala wa wilaya ya Masasi Danford Peter pamoja na kamishna msaidizi wa Madini kanda ya kusini Eng: Benjamin Mchwampaka hii Leo Mara baada ya katibu Tawala huyo kufungua semina inayowahusisha wenyeviti wa vijiji, watendaji wa vijiji pamoja na wachimbaji wadogo wa Madini wilayani Masasi. Semina hiyo inaendelea kwenye ukumbi wa Emirates Mjini Masasi.
Previous Post Next Post