
Blog za Marekani zimeripoti kuwa rnb staa Rihanna anamahusiano ya kimapenzi na rapa Travi$ Scott.
Rihanna na Travi$ Scott walionekana wakiwa pamoja na kukiss kwenye party ya Rihanna baada ya New York Fashion Week.


Rihanna na Scott walikiss mbele ya mastaa The Weeknd, Pharrell, Wiz Khalifa,na Joe Jonas.
Tags
HABARI ZA WASANII