Unknown Unknown Author
Title: HUYU HAPA JOHN POMBE MAGUFULI WA MWAKA 1978
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Kupitia akaunti yake ya Twitter Mgombea urais kupitia chama cha Mapinduzi John Pombe Magufuli ameweza kushare nasi baadhi ya Memory kubwa a...
Kupitia akaunti yake ya Twitter Mgombea urais kupitia chama cha Mapinduzi John Pombe Magufuli ameweza kushare nasi baadhi ya Memory kubwa aliyonayo katika maisha yake, nayo ni picha yake ya Ujana aliyoipiga akiwa na umri wa miaka 19 akiwa katika shule ya Sekondari ya Lake iliyopo jijini mwanza akiwa ni mwanafunzi wa kidato cha nne.
Magufuli aliweza ku tweet picha hiyo (iliyopo juu) na Kuandika haya hapa:

About Author

Advertisement

 
Top