Unknown Unknown Author
Title: KENDRICK LAMAR AMEIANDIKA BARUA HII KWA TUPAC SHAKUR
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Rapa Tupac Shakur alipigwa risasi na kufariki mjini Las Vegas miaka 19 iliyopita na ikiwa ni siku ya kumbukumbu ya kifo chake rapa Kendri...
Rapa Tupac Shakur alipigwa risasi na kufariki mjini Las Vegas miaka 19 iliyopita na ikiwa ni siku ya kumbukumbu ya kifo chake rapa Kendrick Lamar ametumia muda wake kuandika barua kwaajili ya rapa huyu.
Kendrick Lamar
Barua hii imewekwa kwenye ukurasa wa tovuti ya 2 pac, Kendrick anaongelea mara ya kwanza ametazama video ya “California Love (Remix)” .

Kwenye barua hii Kendrick anaongelea kuwa 2 Pac amekuwa mshawishi mzuri kwenye maisha yake, 2 Pac amegusa watu wengi na mpaka leo wanamkumbuka, miaka 20 baada ya kifo chake bado anagusa watu wengi.
barua

About Author

Advertisement

 
Top