Unknown Unknown Author
Title: CELTA VIGO YAICHAPA BARCELONA 4-1, REAL MADRID YASHIKA USUKANI WA LA LIGA
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Estadio Municipal de Balaidos huko Jijini Vigo, umekuwa Uwanja mchungu kwa Mabingwa wa Spain Barcelona walipofungwa Bao 4-1 na Celta Vigo...
celta vigo
Estadio Municipal de Balaidos huko Jijini Vigo, umekuwa Uwanja mchungu kwa Mabingwa wa Spain Barcelona walipofungwa Bao 4-1 na Celta Vigo katika Mechi ya La Liga.

Celta Vigo waliongoza 3-0 kwa Bao za Nolito na mbili za Aspas na Barca kufunga Bao moja kupitia Neymar lakini Celta Vigo wakapiga Bao la 4 kupitia John Guidetti.
messi
Hiki ni kipigo cha kwa kwanza kwa Barcelona Msimu huu mpya wa La Liga.
Real Madrid
Mahasimu wao wakubwa Real Madrid wameshinda mchezo wao dhidi ya Athletic Bilbao kwa jumla ya magoli 2-1 hivyo kuwashusha Barcelona kileleni mwa ligi. Karimu Benzema ndio shujaa wa mchezo huo ambaye aliweza kufunga magoli yote mawili.

VIKOSI:Celta Vigo: Sergio; Hugo Mallo, Sergi Gómez, Cabral, Jonny; Augusto, Radoja, Wass, Orellana, Iago Aspas, Nolito
Akiba: Nestor, Fontas, Bongonda, Pablo Hernandez, Guidetti, Mandinda, Planas

Barcelona: Ter Stegen; Alves, Piqué, Mascherano, Mathieu; Busquets, S. Roberto, Iniesta; Messi, Suárez, Neymar
Akiba: Masip, Douglas, Rakitic, Bartra, Munir, Adriano, Gumbau

About Author

Advertisement

 
Top