Unknown Unknown Author
Title: CHAMA CHA ACT WAZALENDO WAKUBALI MATOKEO YA UTAFITI WA TWAWEZA
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi na Kampeni Taifa wa chama cha ACT Wazalendo, Nixon Tugara akizungumza na waandishi wa habari hawapo pic...
ACT Wazalendo
Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi na Kampeni Taifa wa chama cha ACT Wazalendo, Nixon Tugara akizungumza na waandishi wa habari hawapo pichani juu ya matokeo ya utafiti wa Twaweza na nafasi ya Mgombea wa Urais wa chama cha (ACT)Wazalendo licha ya kuonesha hali hiyo sisi (ACT) wazalendo tunafarijika na matokeo ameyasema hayo katika mkutano huo uli0fanyika katika ukumbi wa makao makuu ya chama hicho jijini Dar es Salaam leo kulia ni Mjumbe wa kamati ya uchaguzi, Emmanuel Mvule.
ACT Wazalendo
Baadhi ya waandishi wa habari wakimsikiliza Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi na Kampeni Taifa wa chama cha ACT Wazalendo, Nixon Tugara leo jijini Dar es Salam 
(Picha na Emmanuel Massaka)

About Author

Advertisement

 
Top