RICK ROSS ATOKA SERO KWA DHAMANA YA DOLA MILIONI 2.

Rapa Rick Ross ameachiwa huru baada ya kuweka dhamana ya dola milioni 2 na mahakama kukubali mtuhumiwa atoke kwa dhamani hio.
Rick Ross
Rick Ross alikamatwa June 24 kwa kosa la kuteka na kushambulia mtu na kumsababishia majeraha mwilini.

Rozay ameweka Dola milioni moja kupitia nyumba yake aliyonunua kutoka kwa Evander Holyfield, dola laki tano kutoka kwa mdhamini wake $500,000 na dola $500,000 kutoka kwake kwa pesa taslimu.
Previous Post Next Post