
Mtv wametaja majina ya wasanii watakao fanya show kwenye usiku wa tuzo na Diamond Platnumz kutoka Tanzania na Davido kutoka Nigeria wapo miongoni mwa wasaii waliotajwa.
Hii ni post ya Davido Facebook.
PERFORMING AGAIN LIKE THIS AT #MTVMAMA2015 !! TOO MUCH BLESSINGS...
Posted by IamDavido on Wednesday, July 1, 2015
Tags
HABARI ZA WASANII