WANANCHI WA LINDI NA MTWARA WAJADILIANA UWAZI KATIKA SEKTA YA MAFUTA NA GESI

Gesi Lindi na MtwaraMkuu wa Wilaya ya Mtwara Fatma Salum Ally akizungumza na baadhi ya wananchi wa Wilya ya Lindi na Mtwara kuhusiana na matarajio makubwa katika sekta ya Mafuta na Gesi pamoja na uundwaji wa mikakati ya mawasiliano katika mkutano uliofanyika katika hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam leo.
Gesi Lindi na Mtwara
Katibu Tawala wa Mkoa wa Mtwara Alfred Luanda ambaye alikuwa mgeni rasmi akimwakilisha Waziri wa Nishati na Madini, George Simbachawene akizungumza katika mkutano uliokutanisha baadhi ya wananchi wa Wilaya ya Lindi na Mtwara leo katika hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.
Gesi Lindi na Mtwara
Msemaji wa wizara ya Nishati na Madaini akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana na Uwazi, Ushirikishwaji na uwajibikaji katika sekta ya mafuta na Gesi leo katika mkutano uliofanyika katika hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam leo.
Gesi Lindi na Mtwara
Baadhi ya wananchi wa wilaya ya Mtwara na Lindi waliohudhuria katika mkutano wa kujadiliana matarajio makubwa katika sekta ya mafuta na Gesi leo jijini Dar es Salaama katika hoteli ya Serena.(Picha na Avila Kakingo,Globu ya Jamii.)
Previous Post Next Post