WAKATI WAKIISUBIRI CHEKECHA CHEKETUA TOKA KWA ALIKIBA, DIAMOND PLATNUMZ AMETUONJESHA PICHA YA VIDEO YAKE MPYA

Diamond Platnumz
Diamond Platnumz amesema hii itakuwa ni zaidi ya Video zake zote na Nyimbo zake alizowahi kutoa amewaahidi mashabiki zake hatowaangusha katika hii Nyimbo.
Ameandika hivi: 
Africa!!! I swear You Gonna Love this Video of Mine!!! (Niamini mimi, utaipenda Video yangu hii...)
Hajaweka Bayana ni nyimbo gani hiyo na Je ni Collabo au ni Solo, Je wewe unahisi ndio ile Collabo na Msanii wa Kimarekani aliyoahidi ataitoa Baada ya Kutoa NaNa?
KUMPIGIA KURA KAMA 
BEST MALE, BEST COLLABORATION AND BEST LIVE 
PIA WAWEZA MPIGIA KURA VANESSA MDEE KAMA BEST FEMALE
Previous Post Next Post