SHILOLE A.K.A "SHISHI BABY" ATOA ONYO KALI KWA VIDEO QUEEN ALIYEDAI KUWA NA UJAUZITO WA NUH MZIWANDA

Nuh mziwanda and ShiloleBaada ya ugomvi uliotokea kati ya Shilole na Video queen maarufu Rose kuhusu kauli ya Rose kuwa anaujauzito wa Nuh Mziwanda, na kwmba alikuwa naye kimapenzi mjini Morogoro, Rose amemiomba msamaha Shilole kwa kauli hio na kusema alisema akiwa na hasira sana sababu ya kipigo na kudhalilishwa na Shilole.

Jibu la Shilole, "Usifanye hivyo tena kwangu au kwa mwanamke yeyote"

************************************
Rafiki Na Shabiki Wangu, Tuwe Pamoja Huku Ilikupata Stori Zote Kutoka Kwangu Instagram Twitter Na Facebook 
Previous Post Next Post