JE ULIPITWA NA HII VIDEO YA MCHEZAJI WA MACHESTER CITY AKICHEZA WIMBO WA DIAMOND PLATNUMZ? NIMEKUWEKEA HAPA

 Wilfred BonyHuyu ni Mchezaji wa Manchester City Wilfred Bony ameweza Kushare Video akiwa anacheza wimbo wa Msanii wa Tanzania Diamond Platnumz "Nasema na wewe", Hakika hii ni Ishara tosha Inayoonesha kuwa Diamond Platnumz sio kuwa anapendwa ndani ya nchi pekee bali hata nje ya mipaka ya Tanzania Msanii huyu amekuwa akipendwa sana na watu.
Itazame hapa Video hii::
Previous Post Next Post