ALLY KIBA NDANI YA COKE STUDIO NCHINI KENYA. TAZAMA PICHA
byUnknown-
0
Star na mmiliki wa hit song “Chekecha”Ally kiba, ameungana na wakali kama Ben Poul na Nah real katika Coke studio mwaka huu Season 3. Hizi ni picha alizoshare nasi:
Akiwa na Msanii kutoka Kenya wakuitwa Vicktoria Kimani ndani ya studio za Coke Studio Ukiwa ni msimu wa tatu.