Wafuasi wa ACT, wakiandamana kupokea msafara wa Viongozi wa Chama hicho wakati ulipokuwa ukuwasili Mkoani Kigoma jana.
Msafara wa Viongozi wa ACT ukiwasili Kigoma...
Vijana wakiwa na mabango yenye ujumbe huku wakiwa wamejichora miilini kuhusu Zitto.
Wananchi wakiwa na mabango....
Zitto Kabwe, akivishwa Shati la Kitenge na wafuasi wake...
Zitto, akipokea kadi za wanachama....
Sehemu ya umati wa wananchi waliohudhuria mkutano wa ACT Kigoma.
Tags
HABARI ZA KITAIFA