Picha za Diamond Platnumz kwenye ziara ya vyombo vya habari Afrika Kusini, akiwa studio na Donald wakati wanarekodi wimbo wake ambao kashirikishwa Diamond Platnumz na alivyotembelea Trace Tv.
#mediatour @diamondplatnumz @qboymsafiwakiingia ndan ya studio za #YFM . Kumbuka kuvote kwa diamond#MTVMAMA2015 ..ukipost andika hashtag #MTVMAMA2015

@diamondplatnumz ndani ya #KAYAFM


#METROFM @diamondplatnumz

#mediatour south Africa, Baada ya kutembelea vituo tofauati tofauti vya radio. walirudi #universal_studios na kukafnyika mkutano na media mbalimbali ...Baadae wataingia studio kumalizia kurekodi

Ikiwa hta nyimbo haijaisha ....tayari washaanza kuzungumza na madirector watakao shoot video
Tags
HABARI ZA WASANII
