Unknown Unknown Author
Title: HII NDI SABABU YA VIDEO YA FID Q - BONGO HIP HOP KUFUNGIWA HUKO YOUTUBE
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Kama Umeifuatilia na kuiangali Video ya Fid Q Bongo Hip-Hop Kupitia Account ya Director Nisher kwenye Youtube Basi utakuwa Shahidi kuwa Vid...
Kama Umeifuatilia na kuiangali Video ya Fid Q Bongo Hip-Hop Kupitia Account ya Director Nisher kwenye Youtube Basi utakuwa Shahidi kuwa Video hiyo Iliondolewa na Wamiliki wa YouTube Kitu ambacho watu wamekitafsiri Tofauti.
Fid Q - Bongo HipHop - Official Video
Taarifa za Mtaani watu wamesema eti Imefungiwa na Kampuni Flani South Africa baada ya Nisher kucopy Vitu flani kwenye Video yao. Fid Q amefunguka ukweli kupitia Kipindi cha DUNDO cha MamboJamboRadio Arusha na kusema kuwa sababu za Video hiyo Kutolewa ni sababu yeye Fid Q amejiandikisha kabisa na anatambulika ndani ya YouTube na kuilinda Hatimiliki ya Fid Q Wao kama Youtube Wameiondoa wakidhani kuwa Nisher ni Mdananda wakati wao Wameshamuuliza Fid Q kama Video aliyoipost kwenye Account yake ya Cheusi Dawa Ni yeye na alivyowajibu ndipo Wakafungia ya Nisher bila wao Kujua kama Nisher pia anahusika kwenye HatiMiliki ya hiyo Video akiwa kama Director.

Hiyo ndiyo sababu Fid Q alomweleza @DjHaazu kuwa ndiyo issue iliyopelekea Video hiyo Kuzuiliwa kwa Masaa Kadhaa kupitia account ya Nisher


********************************
During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip.

Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top