Unknown Unknown Author
Title: ADHABU YA FA DHIDI YA WACHEZAJI HAWA WALIOTEMEANA MATE UWANJANI…
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Pamoja na kukataa kwamba hakumtemea mate mshambuliaji wa New Castle  Papis Cisse , beki wa Man United,  Jonny Evans  amefungiwa mechi si...
Jonny Evans na Papis Cisse
Pamoja na kukataa kwamba hakumtemea mate mshambuliaji wa New Castle Papis Cisse, beki wa Man United, Jonny Evans amefungiwa mechi sita na  Shirikisho la soka England FA.
Naye Papis Cisse amefungiwa michezo saba na Shirikisho hilo.
FA imetoa adhabu hiyo baada uya kuthibitisha kupitia mkanda wa video hiyo katika mchezo uliochezwa jumatano iliyopita katika uwanja wa St. James Park ambapo Man U waliibuka na ushindi wa goli 1-0, goli lililofungwa na Ashley Young.
Adhabu hiyo itamfanya beki huyo kukosa mchezo wa robo fainali dhidi ya Arsenal siku ya jumatatu kwmenye uwanja wa Old Tranford na michezo mingine atakayoikosa ni ile dhidi ya Tottenham, Liverpool, Aston Villa, Manchester City, na Chelsea.
Kwa upande wa Cisse atakosa michezo dhidi ya Everton, Arsenal, Sunderland, Liverpool, Tottenham,Swansea na Leicester

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top