Unknown Unknown Author
Title: HUYU NDIYE MTOTO WA KIUME WA SNURA ALIEMPA JINA LA TALTHAM
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Story mpya ya leo ni ya Snura kukubali kua ni kweli alizaa na baba wa mtoto huyo ni Dj wa Maisha Club Dj Hunter .  Kitu cha kwanza S...
Mtoto wa Snura Mushi
Story mpya ya leo ni ya Snura kukubali kua ni kweli alizaa na baba wa mtoto huyo ni Dj wa Maisha Club Dj Hunter
Snura Mushi
Kitu cha kwanza Snura kufunguka ni sababu iliyomfanya yeye kuficha taarifa hizo za ujauzito na snura alisema kua sababu ya yeye kuficha kuwa ana mimba na kuficha kuwa ana mtoto sio sababu ya kuogopa walimwengu bali sababu za kikazi alijua mapromota ukisema una ujauzito hawakupi kazi, yeye ndio baba na mama wa watoto wake so aliangalia zaidi maslahi na alipiga mzigo mpaka mimba ina miezi 5, alipoona sasa hawez tena walipanga na meneja wake waseme kaenda south kufanya video kumbe alikuwa chumbani kwake.
Snura Mushi
Snura alijifungulia hospitali ya Palestina Dar na wakati anaenda alivaa baibui kininja na aliwaomba manesi ajifungue chumba cha pekeyake. Snura kwa sasa yupo fit kupiga mzigo na ndio maana kayaweka wazi ana mtoto wa kiume anaitwa Taltham...
Snura Mushi

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top