Unknown Unknown Author
Title: WEMA SEPETU AWAPA VIDONGE WANAOMFUATILIA NYENDO ZAKE, SOMA ALICHOKINENA HAPA
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Mrembo na mwigizaji wa filamu ambae kwasasa amekuja kivingine na mwingine, Wema Sepetu amewatolea uvivu baadhi ya watu wanaosema hawa mpe...
Wema sepetu
Mrembo na mwigizaji wa filamu ambae kwasasa amekuja kivingine na mwingine, Wema Sepetu amewatolea uvivu baadhi ya watu wanaosema hawa mpendi na kumchukia lakini bado wanapeleleza na kumfualitia kila anachokiweka mtandao, na kutumia akaunti feki kumchafua kwa maneno machafu....

Amewaita jina baya na kuwambia wanatamani kuwa kwenye matawi yake....

“If u say u Hate me and still come spying on what i post plus create fake accounts to insult me, BI..CH you actually Envy me... Gnyt now....” Wema aliandika maneno haya mtandao jana usiku.

Nadhani ujumbe umefika!!!

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top