
Picha za msanii wa Bongo Fleva Ommy Dimpoz na Wema Sepetu zimesambaa kwenye mitandao tofauti huku mashabiki wakiwa na shauku la kujua kinachoendelea kati yao.
Picha zinamuonyesha Ommy Dimpoz amelala pembeni ya Wema na Wema akapiga Selfie bila Ommy Kujua. Je ni video, filamu au project inatengenezwa ?

Kupitia Moja ya Akaunti ya mitandao ya kijamii ya msanii huyo amefunguka kwa kuandika maneno haya "Inzi kufa kwenye kidonda............" Bado amewaacha washabiki wengi katika mataa kwani sentensi hiyo haijaweka wazi nini alichomaaniisha msanii huyo. Kazi inabaki kuwa kwako ndugu msomaji....!!
KAMA HUJAZIONA PICHA ZAIDI ZA CHUMBANI BOFYA HAPA
Tags
HABARI ZA WASANII