SINEMA BADO ZINAENDELEA KATI YA WEMA SEPETU NA ZARI, SASA WEMA AJA NA HII KALI ADAIWA KUWA MJAMZITO

Wema Sepetu
Hizi ni picha za mwigizaji Wema Sepetu ambazo zinasamabaa kwa kasi huko Instagram zikionyesha watu wakiwa wamemshika tumbo kwa nyataki tofauti huku wote sura zao zikiwa hazionekani....

Moja kati ya akaunti kwenye mtandao huo inayoendeshwa na shabiki mkubwa wa Wema, inayokwenda kwa jina la WEMADAILY, ilizitupia picha hizi na kuandika mameno “NITOBOEEE” kuachilia kuwa anataka aseme jambo nakum “tag”Wema.
Wema Sepetu
Baada ya muda kidogo akaibuka tena na kutupia picha nyingine nakusema ameambiwa asitoboe. Akaunti hii ndio ilikuwa ya kwanza kutoa picha za Wema akiwa na mpenzi wake mpya Ommy Dimpoz.

Comments za mashabiki ndio zilizoshtua watu kwani karibu watu wote walikuwa wakifurahia na kupongeza ‘Madame’kwa kupata katumbo na wengine wakilalamika kuwa kitaanza kumuhalibia magauni MISS wao.

Swali Je kama ni kweli, nani atakuwa muhusika wa ujauzito huo?.....Muda utazungumza

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post