Wachezaji wa Yanga wakishangilia baada ya kupata goli lakwanza lililofungwa na Simon Msuva, katika mchezo wao wa Ligi kuu ya Vodacom Dhidi ya Mbeya City uliochezwa hapo jana Huko jijini Mbeya, Yanga ilishinda Mchezo huo kwa Jumla ya Magoli 3-1
Kocha wa Yanga akizungumza na vyombo vya Habari baada ya mtanange wa ligu kuu ya Vodacom katika uwanja wa sokoinne ambapo Yanga iliibuka kidedeaa baada ya kuidunga Mbeya City goli 3-1.
Kocha wa Mbeya City akizungumza na vyombo vya Habari baada ya mtanange wa Ligu kuu ya Vodacom katika uwanja wa sokoinne ambapo Yanga iliibuka kidedeaa baada ya kuidunga Mbeya City goli 3-1.
Kapteni wa yanga akizungumza na vyombo vya Habari baada ya mtanange wa Ligu kuu ya Vodacom katika uwanja wa sokoinne ambapo Yanga iliibuka kidedeaa baada ya kuidunga Mbeya City goli 3-1.
BAADHI YA PICHA ZA MCHEZO HUO
Tags
SPORTS NEWS