Unknown Unknown Author
Title: CHIDIMA WA NIGERIA ASEMA HANA MAHUSIANO NA FLAVOUR, NI BAADA YA KUONEKANA WAKI KISS
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Baada ya staa wa Nigeria, Flavour kutoa video ya wimbo wake ‘Ololufe’ aliyomshirikisha muimbaji wa kike wa Naija Chidinma, video hiyo il...
Flavour - Ololufe Ft. Chidinma [Official Video]
Baada ya staa wa Nigeria, Flavour kutoa video ya wimbo wake ‘Ololufe’ aliyomshirikisha muimbaji wa kike wa Naija Chidinma, video hiyo ilipokelewa kwa mitazamo tofauti huku wengi wakidhani wawili hao ni wapenzi.


Kilichopelekea mashabiki wengi kuamini hivyo ni kutokana na Flavour na Chidinma ku-kiss kwenye video hiyo ya wimbo wa mapenzi, sababu wao wenyewe ndio waliigiza kama wapenzi.

Chidinma amekanusha kwa kusema kilichoonekana kwenye video hiyo ni uigizaji tu lakini yeye na Flavour sio wapenzi.

Msikilize hapa

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top