

Hivi karibuni picha zimesambaa za mama mtoto wa rapa Tyga kuwa umbo lake kwa nyuma [Makalio] ni feki, Blac Chyna ambaye zamani alikuwa stripper alisadikiwa kuwa alifanya upasuaji ili kuongeza makalio.

Blac Chyna alikanusha tuhuma hizi nakusema makalio yake ni zawadi kutoka kwa Mungu.
KULICHEKI LAIVU LIKIWA NDANI YA BIKINI
Tags
WATU MAARUFU