LOL:: HIZI FASION SASA ZINATUMIKA VIBAYA, MSANII HUYU AINGIA UKUMBINI NA KIVAZI CHA KULALIA

KITUKO
Tuwe tunaangalia ni vazi gani linafaakuvaliwa sehemu ipi Japo ni Uhuru wako kuchagua Nini unapaswa kuvaa lakini sio Hivi....Unaleta picha gani kwa Jamii Inayokuzunguka?

Au ndio vile Biashara Matangazo? 
KITUKO

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post