Unknown Unknown Author
Title: JE WAJUA KUWA KILA MCHEZAJI WA TIMU YA TAIFA YA GHANA KAPEWA ZAWADI YA GARI HILI LENYE THAMANI YA DOLA 76,0000
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Hii ni mpya kutoka nchini Ghana, zikiwa zimepita siku chache toka timu ya mpira wa miguu ya Ghana kushika nafasi ya pili katika mashindan...
Jeep Cherokee
Hii ni mpya kutoka nchini Ghana, zikiwa zimepita siku chache toka timu ya mpira wa miguu ya Ghana kushika nafasi ya pili katika mashindano ya AFCON 2015 Rais wao amewakabidhi zawadi alizowaahidi wachezaji wa timu hiyo.

Rais huyo aliwaahidi gari mpya aina ya Jeep Cherokee ambayo inauzwa $76,000 za kimarekani ambazo kwa pesa za kibongo ni kama milioni 139 huku pia akiwazawadia kiasi cha fedha $25,000 sawa na milioni 45,892,500 za kibongo.

Raisi wa nchi hiyo amewaomba wawakilishi wa baadhi ya wachezaji wa timu hiyo ambao wanachezea timu za ulaya wakachukue magari hayo kwa niaba ya wachezaji hao.

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top