Unknown Unknown Author
Title: NGURUWE AZAA KIUMBE KINACHOFANANA NA BINADAMU..!, KIJANA ALIYE MTIA MIMBA ASAKWA
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Katika hali ya kushangaza,Nguruwe amezaa kiumbe kinacofanana na binadamu huko Burundi, tukio hili lilitokea juzi ambapo Nguruwe huyo amba...
Nguruwe
Katika hali ya kushangaza,Nguruwe amezaa kiumbe kinacofanana na binadamu huko Burundi, tukio hili lilitokea juzi ambapo Nguruwe huyo ambaye amezoeleka kuzaa watoto zaidi ya wastani alizaa kiumbe kimoja tu chenye asili ya kichwa cha binadamu huku sehemu nyingine zikiwa ni mnyama.
Nguruwe
Hata Hivyo wengi waa wakazi wa Nchi hilo wamehusisha tukio hilo na imani za Ushirikina huku wataalamu wakisema kunauwezekano kuwa kunabinadamu aliemuingilia mnyama huyo na kumuachia mbegu za kiume

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top