Unknown Unknown Author
Title: MIILI YA ASKARI WA JWTZ WALIOKUFA NCHINI SUDANI YAAGWA LEO LUGANO JIJINI DAR
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wakiwa wamebeba moja ya jeneza la mwili wa askari wa 3 wa jeshi hilo waliofariki kwa ajali ...
Askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wakiwa wamebeba moja ya jeneza la mwili wa askari wa 3 wa jeshi hilo waliofariki kwa ajali ya maji wakivuka mto Lamada, Sudani walikokwenda kulinda amani chini ya jeshi la umoja wa Mataifa muda mfupi kabla ya kuiaga mili hiyo Lugalo jijini Dar es Salaam.Mkuu wa Majeshi nchini,Jenerali Davis Mwamunyange akizungumza na vyombo vya habari
.
Katibu mkuu wizara ya ulinzi akitoa heshima za mwisho kwa miili ya marehemu.Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama,Jenerali Davis Mwamunyange akitoa heshima za mwisho kwa miili ya marehemuMkuu wa Majeshi nchini,Jenerali Davis Mwamunyange akifariji mke wa mmoja wa askari waliofariki huko nchini Sudan,Bi. Fatuma Chunguile.Askari wa JWTZ wakingiza miili ya marehemu katika Gari tayari kwa safari ya kuelekea mikoani kwa ajili ya Mazishi

About Author

Advertisement

 
Top