HABARI MUHIMU:: MZEE DUDE WA KUNDI LA FUTUHI AFARIKI DUNIA

clip_image001Msanii wa kundi la Futuhi Mzee Dude amefariki dunia Leo mida ya saa kumi na moja jion.
Habari zinasema kuwa alizidiwa jana Jumapili na kukimbizwa katika hospitali ya Bugando jijini Mwanza

Team ya Blog ya Lindi yetu inatoa Pole kwa Wafiwa mungu awape nguvu katika Kipindi Hiki Kigumu

Mungu Ailaze Roho ya Marehemu mahala Pema.

SOURCE: Jamii Forum

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post