DOWNLOAD BRAND NEW AUDIO:: GERE REMIX BY WEUSI FT NAVIO, COLLO, NAAZIZ & RABBIT

GERE Remix
Weusi wameachia remix ya hit single yao ‘Gere’ ambapo wamewakusanya miongoni rappers wakali wa Kenya na Uganda
Walioshirikishwa ni pamoja na Naziz, Collo na Rabbit wa Kenya na Navio wa Uganda. Wimbo umetengenezwa na Nahreel

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post