GODZILLA FT JOTI ~ LAKUCHUMPA (OFFICIAL VIDEO)

clip_image001Ni Track ambayo ilisumbua sana mtaani na kwenye vituo mbali Mbali vya Radio. Godzilla na mchekeshaji Joti walipoamua kufanya Track ambayo walitumia beat ya nje na kuingiza mashairi yao wenyewe ( La kuchumpa ) Itazame Video Yake Hapo chini

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post